WAKATI WA MATESO
Yesu alipofika ng’ambo ya ziwa, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikuja kumlaki, wakitoka makaburini, wakiwa na hasira sana hata mtu asiweze kupita njia ile. Na tazama, wakaanza kupaza sauti: «Kuna nini kati yetu na wewe, Mwana wa Mungu? Umekuja hapa kabla ya wakati wako kututesa?” (ona Mathayo 8:28-29)More