Omega, kizazi cha mwisho ndicho kizazi kitakacho mwonyesha Matrix, mfalme wake,na malaika wake wa giza pia wafuasi wake mtindo wa Yesu anayeitwa Kristo.
Mtindo wa Kikristo, ndio kuwa mfano wa Mungu na Mwanaye na kwa hivyo mfano wa Mungu Baba. Kuishi kama Yesu ndo mwanga utakayofunika dunia yote walivyonena manabii katika Ufunuo 18.Ni mwanga gani mwenye nguvu katika giza hili la kiroho la Matrix na Mtindo wa Zombie Matrix kuliko mwanga utakao mulika kama siku zile za Edeni. katika mfano wake asli katika mtindo wake wa Kikristo. Sio dini wala mafundisho ya ki thiolojia ambayo watu wa Matrix hutafuta kwa njia zote, bali mwanga pekee wanatafuta ni kubadilsha njia za kisasa. kuona pekee, kusikia, na kuwagusa wafuasi wa Yesu kutoka kwa Matrix ndio cheche itakayoangaza dunia nzima na ujumbe wa tumaini na wokovu.
Amka we mpendwa bikira ulalaye, waonekana zaidi kama ‘Zombie Matrix Style’ ambaye karibuni atatemwa toka mdomoni mwa Mungu. Ndio amka kutoka kwenye usingizi huu wa kiroho na uruhusu roho wa Mungu akairegeshe tabia yako katika ule utukufu wa awali. Ulivyokuwa katika picha na mfano wa Mungu muumbaji. Amka, utajakuwa mrekebishaji wa hili pengo. ( Isaya 58:12)
na utakikanyaga kichwa cha mfalme wa Matrix. Mwanzo 3:15.
Ushindi ni wako.
Matrix mwishowe wamkubali Yesu. Tabia yake na Mtindo wake, ni wakati wa kumwonyesha Yesu aliye ndani yangu.
Ndio nataka kuwa kama Yesu, nataka kuishi mtindo wa Kristo.