Kama vile yesu miaka elfu mbili iliyopita alivyotumia taswira ya kawaida ya jamii za nyakati hizo kutoa mifano yake kuu.Isije ikawa mshangao tukapata kumfahamu yesu hata kutoka kwa wakafiri kuwa yeye ni “msemaji mkuu wa nyakati zote”,pia nyakati zetu, katika jamii ya kisasa iliyoimarika kiteknolojia ikatumia taswira ya kawaida kutoka kanda za viteo na sinema.More