historia inaniambia kwamba napoleon bonaparte ,mkuu wa majeshi wa ufaransa na mwanasiasa aliingia kwa ungozi wakati wa ufunuo wa 18 brumaire(novemba 8 , 1799 na kuanzisha utawala wa wafaransa.nyota yangu itatabiri kwmba nyakati za mwisho kabla ya kurudi kwa yesu ,kutakuwa na kitu kingini cha mwisho.ufunuo fungu la 17 inasema kwamba wafalme wa dunia watapia nguvu wanyama ,na haitawezikana kwa sababu mnyam a hawezi pata utawala kwa njia ya kidimokrasia .hapana itakuwa kama (napoleon) ufunuo wa kweli .kama kwa umbo kura na maoni yangu ni chache sana hataweza chochote,lakini kupitia ufunuo itawezikana kupitia milango ambayo imefungungwa.bibilia inasema yesu itaweka mwisho wa umbo .