unajihisi kuwa mgonjwa na kuchoka na kila aina ya maovu? hivi karibuni kondoo na umbwa mwitu watakula pamoja.

unahisi kama nambari yenye haina maana duniani?dunia mpya itaanza.unahisi unatumiwa na viongozi…

badiliko linakuja.unahisi kuwa umefenywa kama ndimu. mipango ya deni la uroho iko karibu kufa.

unajihisi umeteswa kiroho?ujumbe wa yesu wa rahisi utafafanuliwa.
huwa umewakosa wapendwa walio kufa?kufufuliwa kwa walio kufa utaanza.

mageuzo #4 hakuna kitu kitafanana.kila kitu kitarudi na kuwa venye kiliumbwa wakati mungu aliumba mbingu na dunia.hasa Mimi niliyeumbwa kwa mfano wake.