misemo 29:18(sehemu ya kwanza)watu wasipokuwa na ufunuo ya kiroho,hakuna kinachowazuia,vita na kuanguka,shida,uharamia,mitetemko za ardhi,mauaji,ubaguzi wa rangi,migomo,hukumu ya kifo,kutoelewana,madawa za kulevya,umalaya, unyanyasaji,unyonyaji wa watoto,vurugu,
biashara ya binadamu.raia wa matrix wamechanganyikiwa,wamejawa na woga na hawana tumaini.hata kama hatutaki kukubali,binadamu hajawahi hitaji sauti ya muumbaji wake kuliko sasa.hio njia kombo ya kujitegemea na kujitenga kutoka sheria za kiroho iliyosemwa miaka za kuhesabika kwa maelfu na lile joka umeonyesha ulimwengu mzima utakatifu wa sheria yake Mungu na upendo iliyosimamishwa.leo,binadamu ameonyeshwa ya kwamba Mungu ni upendo na ya kwamba,mbali na yeye ni kifo!!
na kufikiria eti tulikua wenyewe na tumaini ya kuwa miungu!matrix itakuja kuanguka kwa uchungu mwishowe na dunia hii ninayoipenda mimi ambaye ni kiumbe tu!wakati huu,kutegemea na jinsi bibilia yangu imeniambia,watu wa dunia hii hawana dhibiti.lakini unabii ya kiroho iliyotabiriwa na kungojewa inakuja!sauti ya Bwana Mungu itasikika hadi kona nne zote za dunia(ufunuo 18)na kila binadamu ataamua kibinafsi juu ya
Hatima yake!iwe ya matrix,ambayo imejaa miungu iliyoumbwa na binadamu,au Mwenyezi Mungu anayeishi milele!