waliohusunika duniani wakiongea kuhusu mambo yanayo wadhuru.na kudanganywa kuhusu haki ya binafsi.umbo umejengwa kwa ubinafsi wa watu kwa wanainchi.mimi kama mwananchi naangaliwa kila ninalofanya.ninachonunua kinajulikana kupitia kadi ya kununua,ladha yangu,marafiki zangu kupitia mtandao na mali yangu yanaonekana.hivi karibunika pesa itapotea na kila ufanyalo litaonekana kwa tarakirishi.hata mazungumuzo yangu kwa simu si ya siri kwa watu.ufamle wa umbo umekamilika na kutoa furaha.anaye jaribu kuzuia anajulikana kama jambazi hatari.na kukana kila kitu maishani mwake. kwa kubonyeza kwa tarakilishi.hata dikteta wa zamani hawakuweza kujua kwa ndoto zao..kwamba kutakuwa na kuharibu nguvu .lakini muumba mungu anasema.,,

matrix imeanguka!enyi wafuasi wa Yesu shangilieni kwa maana,kwa kuihukumu,nimewalipia kisasi!(ufunuo 18:2 and 20) kama tu babeli ya zama,mji iliyokuwa na maringo tosha,ulishindwa nguvu na cyrus kwa usiku tu moja kwa namna ya ujanja tele(aliyageuza maji ya mto euphrates yaelekee njia pande kutoka mji wa babeli,akaingia mjini humo na kuishinda jeshi ya babeli usiku huo)

kwa hivyo matrix,babeli ya leo,iliyojawa na kiburi sababu ya teknolojia ya kisasa,inashindwa polepole kwa namna ya kupeleka kombo maji yanayomsaidia awe hai:roho yake ya waasi,kiburi na maringo tele.(ufunuo 18:21-24)ndio,habari ya maadili zilizo sawa na Yesu,sanasana za huruma zake,ndio itakayosababisha mwanguko wa matrix.ijapokuwa inaonekana kuwa maajabu,huo ndio ukweli uliowekwa mbele ya dunia hii na ulimwengu yote.hii vita ninayoitazama na macho yangu itamalizwa na hii itamsumbua mfalme wa matrix na wafuasi wake!