MJI WA MAUMBILE
mungu anaweza ,nani Mimi ambaye naeza sema kwamba mungu anayetawala hana sababu ya kuongea na kuwa manabili wa kale walishanena kuhusu ukweli ambao utatoka kwa dunia.nawezaje fikiria ulimwengu haubadiliki kama kinyonga hata imekuwa vigumu kuelezea.unabili wa yesu uliniambia kuamba virusi vya mabaya vitafanya mashabiki wa yesu kulala siku za mwisho.(matayo 25:1-13)hii ndio sababu ambayo yesu alisema maarifa yataongezeka siku za mwisho za Giza.(danieli 12:4)na kupea mashabiki wake habari za unabii.ambayo imeendelezwa na ramani ya barabara kwa umbo.mji wa maumbile unaoniongoza na roho yangu kuelekea kwa muumba anayenipa uzima.yesu ananiambia kuwa niendapo kulia au kushoto masikio yangu yatasikia sauti “hii ndio njia ya kutoka kwa umbo tembea ndani yake(isaya 30:21)