wanainchi wote kwenye umbo wamekubali uongo kwamba wao ndio vifaranga wanaoweza kubaki kwa nyuta.umbo ni kama kinyumba cha kuku kwa wanadamu ambapo akili yangu na mafikirio yangu yametawaliwa kwa uongo.mashabiki wa yesu wananionyesha katika mafungu ya unabii agano la kale.(Malachi 4) atainuka kama alivyo inuka Mara ya Kwanzaa akija duniani .mtumwa aliye na roho Na nguvu ya nabii Elijah.huyu mtumwa atabeba barua kutoka kwa muumba kwa wananchi wote akiwaalika watoke kwenye umbo la uongo.(ufunuo 18) .lengo la “elija wa tatu”ni kuchukua ushukani na kunena Mimi si kuku Ila ni mwewe dhahabu niliyeumbwa na mungu kupaa juu zaidi hii safari ya mtume itaonyesha kuanguka kwa babeli.mfano mwisho wa umbo.wakati mashabiki wa yesu ama wananchi wa umbo watachukua wadhifa watajua wao si kuku ,ni mwewe dhahabu.itakuwa wakati wakuamsha kila mmoja.kujitawala kwangu kutaonyesha mwisho wa umbo.hivi karibuni ujumbe huu utajulikana dunia nzima kwa utukufu wa mungu anayependa ,anayejua,baba yangu,mwewe dhahabu yangu.