wajenzi waliokuwa wakijenga umbo,dunia ambayo deni la umma linatawala bila kupingwa.

niambie kuwa nafaa kuwa mtumwa.yesu anasema roho ya muumba mungu iko na mimi kwa sababu amenichagua kuhubiri mazuri,kufariji waliovunjika mioyo.kutangaza uhuru kwa walio watumwa kwa umbo.kufungua milango ya gereza kwa wafungwa.kufariji wanao lia,kuwapa MKOPO kuliko DENI.kusamehana kuliko kulipiza kizazi,roho aliye na nguvu kuliko roho iliyovunjika.kutangaza mwaka wa jubilee ,mwaka wa mungu.(isaya 61:1-3) ni masiha anarejea, aliyechaguliwa,aliyetakanzwa anayeongojewa kwa miaka elfu mbili(hata zaidi ya hiyo).ambaye wazazi wangu,ma mababu wamekuwa wakingoja.yawezikana kuwa kutoka kwangu gerezani ni hivi karibuni.yawezikana kwamba wakati imewadhia kwa kubomoliwa na kutoweka kwa madeni ya ulimwengu na kiroho?