(ROHO YA ELIJAH)
Elija alikuwa mtumishi wa mungu aliyejulikana sana,aliluwa mtumwa aliyechaguliwa na aliyejuu kabisa.kwa maana mungu hafanyi lolote bila kuonyesha siri zake kwa watumishi wake,(amosi 3;7)

yohana aliyekuwa anabatiza ,binamu wa yesu alianza huduma yake kabla ya yesu,kutengeneza njia yake,lakini hakuwa mtumwa alikuwa na roho ya elija na nguvu za elija.(luka 1:17)katika siku za mwisho kabla kurudi kwa kristo na kulingana na mtumwa mwingine(malachi 4;5_6) roho wa elija atarudi tena.roho haitakuwa tulivu itakuwa mara ya tatu kwa historia ya mwanadamu,roho wa nguvu sauti inayo udhi kwa wale wamechukua mwenendo wa umbo.sauti ambayo haitasimamishwa hakuwa kitakacho weza (iwe sumu au risasi ya umbo) itaweza zuea huduma takatifu ,sauti itakayo lea kutuka jangwa ,yesu ananiambia “nimisimama mlangoni mwa roho yako ukiskia sauti yangu fungua mlango,nitaingia ndani na kula na wewe.(ufunuo 3;20) hiyo ni sauti ya yesu ambaye ana roho kama ya elija na yohana,anakuja tena,ni juu yangu kukubali wito kama wokofu ama kukataa,lakina nikumbuke kusaida ni bora,ni maisha yangu ambayo imeahidhiwa na yesu miaka iliyopita,ndio maana anabisha rohoni mwangu,ananipenda,na kutosikiza sauti ya mungu na mtumwa ni kupinga muumba wangu ,chemichemi ya uzima, hivyo niamini kwa muumba mungu na nitakuwa salama amini mtumwa na utashinda( 2choronicles20;20