dunia ndio kiwango dhabiti cha maelewano hakuna anayeweza kutawalia anavyo taka.umbo ni kila kitu na inatawala kila kitu.kila binadamu ama kitu chochote kinatawaliwa na umbo.upizani uko lakini kwa nyuso tu,kwa kweli wamekuwa wakiteseka .kuabudu kwa mmoja kunaletwa na kifo cha wengi.kuelewana. umoja na upendo inapunguza utumwa.muumba naye hakuumba viumbe viwe sawa.kila mmoja anasababu maalum.kila mmoja anapendwa kwa njia tofauti.muumba mungu anapenda rangi tofauti na wengi.ni yeye ayakaye saida ulimwengu.umbo mbaya kutoelewa hakuwezi dhibiti mbele ya mwengizi muumba .lakini mbali na yeye itajiongeza. kama ugonjwa wa saratani ambao unaenea kwa kila binadamu.muumba mungu kwa upande wake maisha yake ni mema kwa kila kiumbe kilicho karibu naye.siku moja hivi karibuni muumba mungu atarejea kwa utukufu wake na atapumua kwa viumbe vyake.