40 – ARUBAINI
Nambari arubaini ni namba yenye maana fiche na ya muhimu sana katika Biblia.
Nambari hii inawakilisha mpango na kujiandaa , Zaburi 95:10 ambapo baadaye yalotabiriwa na waloongozwa kiroho yaanza hapo awali.
1) 40 ni miaka ambayo Musa alikaa jangwani kabla hajahitimu kuwa chombo cha ukombozi wa Wanaisraeli kutoka Utumwani Misri.
2) 40 ndo siku Yesu anamaliza jangwani akijaribiwa na Matrix kabla ya kuanza huduma take kama Messia.
3) 40 ndo siku yuakaa na wanafunzi wake kabla ya kuwapa upako ya kuanza huduma alowaachia.
Nambari hii inakuwa ya Maana sana katika Biblia kwani katika siku za mwisho za matrix
Ezekiel 29:11-16. Baada ya muda huu kuisha, Mungu atakusanya wafuasi wake kutoka kwa watu tofauti ambapo watakuwa wametawanyika na atawafanya kurudi kutoka utumwa wao.
Jipanguse vumbi ewe mfuasi wa Yesu, Amkeni watu wa Mungu, zivueni hizo nyororo kwenye shingo zenu enyi binti wa Zayuni, watumwa katika Matrix ( Isaiah 52:2) Saa ya kulala imefikia mwisho na Omega Yu karibu kuonekana katika mawingu kabla ya giza kuingia.