vile vile wakati alikuja Mara ya kwanza kulikuwa na watu wachache waliokuwa kupata ujumbe kutoka kwa malaika.na Leo hii kuonekana kwake na kurudi Mara ya pili,(kwa neema na nguvu)mashabiki wachache wanatayarisha taa zao kukutana na yesu na kuleta nuru kwa dunia hii yetu.

  • mbona hakuna mtu anasema kuhusu haya.
  • mbona hata wanahabari hawasemi lolote.
  • mbona hata kanisani halisemwe.
  • mbona tabia yangu inaonyesha utumwa kuliko mtindo wa kristo.

hivi punde yesu anarudi na kila jicho litamwona,mashabiki wake wa umbo pia watamwona(wafu wanao amini wanaishi,maskini wanao amini ni tajiri,wanao lala wakiamini wameamka.)watalaniwa kwa sababu ya kuanguaka kwa umbo.dunia yao imeumbwa kwa sanamu za Lucifer (anayetawala umbo) na hivyo ndivyo kutakuwa(ufunuo 1:7)yesu atakuja duniani na malaika wake.kwa ufalme wa hezi.na tutakutana na yesu na atatawanya kila pande kama mchungaji anayetawanya mbuzi na kondoo,na atatenga wailo kama yeye upande wa kulia na wengeni upande wa kushoto(matayo 25:31-33) ataniweka upande gani.