Ambayo ninaishi ni ya woga ya kile wengine hufikiria.ili,niishi kwa amani,najipata nimelazimishwa na nguvu isijulikayo na isionekayo nijifungie kwa seng’enge ya akili ambayo jamii inayosema kuwa ni hali kawaida Ukifikiria kama kila mtu mwingine,watu watakuacha wakisema wewe ukawaida.lakini ukienda nje ya seng’enge na uanze kujieleza,basi umo shidani.nikama kuna nguvu inayonivutia kwa roho ya matrix inayosimamiwa na idolized standards zake!kumaliza hii jela
Inayokumba dunia nzima,watengenezaji wa matrix wameumba idadi ya watu iliyojaa walinzi wa jela waliotayari kuvamia yeyote asiyefanya kulingana na izi standards.haya hufanyika kwa siasa,uchumi na dini.hata kanisa inayo walinda jela(mbwa mwitu)waliovaa kama Walinzi wa ukweli(kondoo).lakini sasa,tunao jeshi la walinda jela wanaolazimisha matrix standards wao kwa wenyewe.kwa ufupi,mkuu wa matrix ananiumba na watu wengine kuwa standard iliyofungu badala,kwa ivyo itakua rahisi kukabiliana na kudhibiti.haya ndio
Msingi ya unyama dunia mzima na jela iliyo wazi na ambayo mi ni mlinzi wa jela na mfungwa sote pamoja!alipokuja,Yesu alitembea nje ya matrix ya wakati wake na alivamiwa sana juu yake! Yesu alitembea nje ya umbo na kuvumaniwa,hata alitolewa pamoja. nini kinachonifanya Mimi kufikiria vitu tofauti siku hizi? nani atakaye kunifanya niamini kwamba askari wa gereza wako upande wa yesu. inabidhi nitazame kwa uso na kukubali binafsi kwamba yesu naye,kuliko yeyote kubaguliwa. Leo kama kitu hatari kwa umbo unanipa njia mwafaka na kukubali ulio daima. yesu anatoa ushauri kwamba nifuate njia isiyo julikana na binadamu ambaye huamini watu wengine. njia nyembamba isiyo onekana kwa jicho la binadamu,kwa sababu siyo barabara, kwa milima isiyo barabara ya lami. ni wajibu wangu kuchagua kama nitabaki kwa jela ama kufuata nyayo za yesu na wokovu. nyayo ambazo hazifuate barabara Za binadamu.Ila ni njia ipitayo kwa umbo kwa kiwango.
