hii ni mtindo wa kupinga utawala.mtindo wa ukiristo na ujumbe :toka kwa umbo;inaonekana na wanainchi wa umbo.
hasa inaposema imani yetu sio dini lakini ni uhusiano.lakini ni roho ninaonyesha tabia ya mungu kwa umbo.itakuwaje unapo kubali ujumbe unao kandamizi msingi wa kanisa ama dini?kutangaza mtindo wa ukristo ni kinyume na tarajio la mungu.ni kiongozi yupi anaweza kubali.ukweli mtindo wa kristo hauna ujumbe wa kiroho na haukandamizi msingi ya kanisa na dini lakini ni kuosha umbo ambao umekuwa kwa miaka.mtindo wa ukjristo unaleta ujumbe wa kitambo(kutoka edeni na kuumbwa)hata malaika hawa utawala?kama wanaoitwa viongozi walikuwa wanyenyekefu na kuwa watenda kazi.(msitari mbele kwa kazi ya mungu.)walikuwa wa ukweli.hivyo kungekuwa na matunda na historia ya yesu kanisani,kukosa mpangilio inaleta kuchanganyekiwa .inaweza toka kwa umbo kwa kujipata ndani ya umbo kabisa.lucifa pekee anataka utawala inayo weza toa kila aina ya ungozi hata utawala wa mungu muuba.