Nyakati hizi watu wa Mungu wamejitenga katika makundi mawili ambayo ni mwenye msimamo thabiti na wasio na msimamo thabiti kwa yale wajuayo.Wote wanajiamini kuwa katika njia ya kweli.Wasio na msimamo thabiti uwashtaki wenzao kuwa kwenye njia ya kuwa wafuazi sugu nao uwashtaki wenzao kwa kuwa mwisho wa uovu.Makanisa yote yamejitenga kutokana na jambo hilila upizani ambalo limeeneza vita vya ndani kwa ndani.Lakini kwawafuazi wa Yesu kuna njia ya tatu “maskini kiroho” inayozungumziwa kuwa ,kubarikiwa naYesu ambayo wasio na msimamo thabiti ujifunza kuwa wao si wafungwa wa kazi, mila na desturi kama wenzao.Nao wenzao wenye msimamo thabitiujifunza kuwa wenzao wahitaji kuishi jinsi Mungu alivyosema” Kama neno langu takatifu litaonekanakwangu kupitia Biblia na amri ambazo zinahitajika kwa makundi haya yote na ni mizani ,Yesu mwenyewe aliwreza kuifaa ambayo ni kufaa mwili wa binadamu.Makundi haya yanafaa kujifunza juu ya Yesu kwa unyenyekevu hili kukuwa na mienendo ya kiroho wakati wote na kuwa wa kweli katika mafunzo ya Mungu bila kuenea mahali moja na kusahau mambo yasiyo kubalika.Kazi ya roho mtakatifu kwa wafuazi wa Yesu ni kuwawezesha kuwa pamoja na kuzuia tofauti zao. Hawa wote wanatakikana kuwa na sura na mfano wa Mungu Baba na mwana ambaye ni Yesu kupitia kwa nguvu za roho mtakatifu.Ni kupitia kwa mizani ya nono kakatifu linaloweza kuzuia upizani.Yote ni vita vya ndani kwa ndani bila upendo na imani.