(WAKATI UNAKUJA)
Wakati unakaribia mwisho katika dunia ambayo inataka mungu katika taasisi ya mwanadamu.More
September 2013
Macho Yalofungwa Kabisa
Macho yalofungwa ni kichwa cha sinema maarufu kutoka Hollywood. Ni mchezo ambao kichwa chake hakitafsiriki katika lugha zingine. Kawaida kwenye kiingereza, macho huwa yafunguliwa wazi wala si kufungwa wazi. Ni maneno yanayomaanisha kuwa macho yamefungwa kabisa ilihali yako wazi kabisa. Ni muunganisho wa kinyume ulounganishwa kuleta maana ya sinema hii, na tena kuonyesha hali ya wafuasi wa sasa wa Yesu.More
KIFO CHA UKRISTO – Sehemu 2
Omega, kizazi cha mwisho ndicho kizazi kitakacho mwonyesha Matrix, mfalme wake,na malaika wake wa giza pia wafuasi wake mtindo wa Yesu anayeitwa Kristo.
Mtindo wa Kikristo, ndio kuwa mfano wa Mungu na Mwanaye na kwa hivyo mfano wa Mungu Baba. Kuishi kama Yesu ndo mwanga utakayofunika dunia yote walivyonena manabii katika Ufunuo 18.More
KIFO CHA UKRISTO – Sehemu 1
Duniani kumejaa makanisa, madhehebu, makundi, na imani tofauti. Swali laibuka: Mbona Christian Style? si hili swala laendelea kujaza barabara ya kidini na kiroho ambayo keshajaa? na kuleta utata kwa mwanadamu anayeendelea kutafuta ukweli na maana halisi ya maisha?More