KIZA CHA KITAALUMA (MWANGA WA KUPOTEA)
Utafika usiku ambao macho ya wanadamu yatajaa picha… lakini hawatasitahili tena kuona. Miji itang’aa kama nyota za bandia, na bado ndani ya roho kutakua na utusitusi usio na mwisho. Maneno yatapoteza uzito wake. Ukweli utachanganywa na uongo hadi usitambulike tena. More
