misemo 29:18(sehemu ya kwanza)watu wasipokuwa na ufunuo ya kiroho,hakuna kinachowazuia,vita na kuanguka,shida,uharamia,mitetemko za ardhi,mauaji,ubaguzi wa rangi,migomo,hukumu ya kifo,kutoelewana,madawa za kulevya,umalaya, unyanyasaji,unyonyaji wa watoto,vurugu,More
November 2013
NINAPO ANGALIA NA KUONA WATU
waliohusunika duniani wakiongea kuhusu mambo yanayo wadhuru.na kudanganywa kuhusu haki ya binafsi.umbo umejengwa kwa ubinafsi wa watu kwa wanainchi.mimi kama mwananchi naangaliwa kila ninalofanya.ninachonunua kinajulikana kupitia kadi ya kununua,ladha yangu,marafiki zangu kupitia mtandao na mali yangu yanaonekana.More
DUNIA NI LEO YA LUCIFERIAN MATRIX
sababu ni dunia ambayo nimefungwa kwa jela yangu! tukizungumzia kihesabu,mimi ni nambari na ni lazima nibaki kwa
mstari x na safu y! More
SHIDA KUBWA YA MATRIX
Ambayo ninaishi ni ya woga ya kile wengine hufikiria.ili,niishi kwa amani,najipata nimelazimishwa na nguvu isijulikayo na isionekayo nijifungie kwa seng’enge ya akili ambayo jamii inayosema kuwa ni hali kawaida Ukifikiria kama kila mtu mwingine,watu watakuacha wakisema wewe ukawaida.More