Omega Generation
  • HOME
  • DOWNLOAD EBOOKS
    • Come out of the Matrix I
    • Come out of the Matrix II
    • Come out of the Matrix III
    • Come out of the Matrix IV
  • swSwahili
    • enEnglish
    • deDeutsch
    • itItaliano
    • esEspañol
    • pt-brPortuguês
    • roRomână
RSS
  • 2014
    • March
    • February
    • January

March 2014

04/03/2014

RATIBA YA SCHINDLER

Schindler10

Ratiba ya Schindler ni filamu ambayo imetolewa kwa ajil ya shoah ,cracow 1939.

mwanabiashara Oscar Schindler anasema kikundi cha elite kujaribu kufungua kiwanda cha kutengeneza nyungo na birika .More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

See more stories

February 2014

25/02/2014

UMRI UPYA

wolf_in_sheeps_clothing8

idadi zinaonyeasha kuwa vifo vinapungua.na hukumu ya kifo inapungua.NA viongozi wanasema hizi ndizo nyakati mazuri za amani.More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

18/02/2014

C’OUP DETAT

napoleone7

historia inaniambia kwamba napoleon bonaparte ,mkuu wa majeshi wa ufaransa na mwanasiasa aliingia kwa ungozi wakati wa ufunuo wa 18 brumaire(novemba 8 , 1799 na kuanzisha utawala wa wafaransa.More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

12/02/2014

MAGEUKO #4

revolution7

unajihisi kuwa mgonjwa na kuchoka na kila aina ya maovu? hivi karibuni kondoo na umbwa mwitu watakula pamoja.

unahisi kama nambari yenye haina maana duniani?dunia mpya itaanza.unahisi unatumiwa na viongozi…More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

06/02/2014

RADIO LONDON

radiolondra19

RADIO LONDONni ratiba inayo tangazwa na” BBC”kwa watu WA bara la uropa. wakati wa vita duniani Mara ya pili.watenda kazi wa redio ya uingereza wakajulikana sana kwa matangazo yao.kwa kila pande ya dunia.redio ya uingereza ilitumika sana kupasha ujumbe kwa vikosi .bibila pia ina tabiri kuwa nyakati sa mwisho kwa umbo kutakuwa na “Redio ya uingereza”yenye itatangaza ukweli kwa dunia iliyona Giza.
na nyota ya kila shabiki wa yesu,ina ahadi ya kwamba ujumbe ya uongo kwa umbo haitaweza kupunguza kilo ambacho kitavunja sheria,yenye itakinga kila mtu na kitu.upande mwingine inasema sauti hii itatoa mwanga kwa ulimwengu.(ufunuo 18:1)hii sauti itatoa mbinu ambazo zimewekwa na uongo wa umbo ile kuficha ukweli…sauti hii itakuwa na ujumbe maalamu kwa mashabiki wa yesu”toka kwa umbo”..kwa Matrix

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

See more stories

January 2014

29/01/2014

KUUZWA NAFSI

bruegel_torre_di_babele8

Siku hizi, zaidi na zaidi kisiasa, kiuchumi na viongozi wa dini ni juu ya mkuu wa malipo ya Matrix ya. Jamii yetu ya ndani / kimataifa inazidi kuchukua sura ya pia katika ambayo wachache utawala watu wengi zaidi. More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

23/01/2014

JUU CHINI

Upside Down8

dunia ambayo yesu aliniahidi miaka elfu mbili iliyopita iko juu chini kulingana na jinsi Mimi kama mwandamu nimeumbwa.More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

15/01/2014

YATIMA

orfano8

Yesu mpendwa
Nahisi ni kama mimi ni yatima kwa matrix,kwa jamii iliyo baridi mioyoni na iliyo mbali na wewe…nisaidie nitoke humo.More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

10/01/2014

KATIKAPIGANO

fratricidio38

Nyakati hizi watu wa Mungu wamejitenga katika makundi mawili ambayo ni mwenye msimamo thabiti na wasio na msimamo thabiti kwa yale wajuayo.Wote wanajiamini kuwa katika njia ya kweli.More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

05/01/2014

UKOSEFU WA UTAWALA

anarchy A house fire8

hii ni mtindo wa kupinga utawala.mtindo wa ukiristo na ujumbe :toka kwa umbo;inaonekana na wanainchi wa umbo.
hasa inaposema imani yetu sio dini lakini ni uhusiano.More

Il Postino ⋅ Uncategorized @sw No Comments

See more stories
«‹ 2 3 4 5

↑

© Omega Generation 2026
Powered by WordPress • Themify WordPress Themes