sababu ni dunia ambayo nimefungwa kwa jela yangu! tukizungumzia kihesabu,mimi ni nambari na ni lazima nibaki kwa
mstari x na safu y! More
November 2013
SHIDA KUBWA YA MATRIX
Ambayo ninaishi ni ya woga ya kile wengine hufikiria.ili,niishi kwa amani,najipata nimelazimishwa na nguvu isijulikayo na isionekayo nijifungie kwa seng’enge ya akili ambayo jamii inayosema kuwa ni hali kawaida Ukifikiria kama kila mtu mwingine,watu watakuacha wakisema wewe ukawaida.More
October 2013
IMANI GHASIA
Mfalme wa matrix nyakati zake za mwisho, aliamua kutumia virusi kwa wana wa mungu waliyo tawanyika. Virusi hivi vilikua vikipewa kwa njia ya ustadi. Mimi wenu Yesu.iman Ghasia yiko:More
KUONEKANA KWA NURU KATIKA ANGA YA KIZAZI CHA OMEGA
40 – ARUBAINI
Nambari arubaini ni namba yenye maana fiche na ya muhimu sana katika Biblia.
Nambari hii inawakilisha mpango na kujiandaa , Zaburi 95:10 ambapo baadaye yalotabiriwa na waloongozwa kiroho yaanza hapo awali.More
JENEZA LA MAWE LANGU
Jeneza la mawe ni aina fulani ya mtungi inayotumika kuweka au kuhifadhia mfu au maiti. Halo mwanzo, Mungu alimuumba mwanadamu katika mfano wake mwenyewe na kuwapa Adamu na Awa tabia iloyowafaa. Lakini wanadamu wakaamua kuchukua njia nyingine ambayo ni tofauti na ile walopewa na Mungu mpaji wa uhai.More
September 2013
USIKU KUCHA
(WAKATI UNAKUJA)
Wakati unakaribia mwisho katika dunia ambayo inataka mungu katika taasisi ya mwanadamu.More
Macho Yalofungwa Kabisa
Macho yalofungwa ni kichwa cha sinema maarufu kutoka Hollywood. Ni mchezo ambao kichwa chake hakitafsiriki katika lugha zingine. Kawaida kwenye kiingereza, macho huwa yafunguliwa wazi wala si kufungwa wazi. Ni maneno yanayomaanisha kuwa macho yamefungwa kabisa ilihali yako wazi kabisa. Ni muunganisho wa kinyume ulounganishwa kuleta maana ya sinema hii, na tena kuonyesha hali ya wafuasi wa sasa wa Yesu.More
KIFO CHA UKRISTO – Sehemu 2
Omega, kizazi cha mwisho ndicho kizazi kitakacho mwonyesha Matrix, mfalme wake,na malaika wake wa giza pia wafuasi wake mtindo wa Yesu anayeitwa Kristo.
Mtindo wa Kikristo, ndio kuwa mfano wa Mungu na Mwanaye na kwa hivyo mfano wa Mungu Baba. Kuishi kama Yesu ndo mwanga utakayofunika dunia yote walivyonena manabii katika Ufunuo 18.More